Nisaidieni maana ya Per Diem

Babaticha

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
26
Reaction score
1
Jaman nmekutana na Neno hili PER DIEM kwa maana kuna kazi ya namna hyo maana yake ni nini
 
Per diem ( Latin for "per day" or
"for each day") is a daily
allowance for expenses—a specific
amount of money an organization
gives an individual, often an
employee, per day to cover living
expenses when traveling for work.pesa inayolipwa kwa ajili ya night,foristance TGTS D analipwa 45000 kwa siku akienda kwenye wilaya,TGTS H analipwa 65000 wilayani
 
pet diem alikuwa anamaanisha per diet sema akawa amesahau kuweka "t" kwenye "m"
 
Jaribu kuifanya google kua rafiki yako im sure atakusaidia.
 
mmmh yani wote waliokuzunguka hamna anayehua hilo neno. hata google hamna?
 
mkuu yani endapo kila mtu akiwa anaanzisha thread kwa kila kineno kinachomchanganya, hakika server zitajaa,

yani hata kuumiza kichwa kweli hakuna hata kidogo?

see answers from google...

per diem
pəː ˈdiːɛm,ˈdʌɪɛm/
adverb & adjective
adverb: per diem; adjective: per diem

  • 1.
    for each day (used in financial contexts).
    "he agreed to pay at certain specified rates per diem"




noun
noun: per diem; plural noun: per diems

  • 1.
    an allowance or payment made for each day.
    "per diems are still allowed for out-of-state legislators"

    still mtu anaanzisha thread! duh! by the way, tunatofautiana, na ni bora tutofautiane.




 

mmmh yani wote waliokuzunguka hamna anayehua hilo neno. hata google hamna?
Msishangae hiki ndiyo kizazi tulichonacho,full spoon feeding.Hizi ni athari za madesa kila kitu mtu anataka kiwepo tayari yeye hata kuumiza kicha hataki.Hata akiingia ofisini ataendelea na ndiyo hapo utajiuliza hivi huyu aliingiaje hapa ofisini,ukichunguza CV yake utakuta kaweka maneno matamu ambayo mengine hata hayajui maana yake
"team player,creative,proactive,taking initiative,ability to think out of the box etc,English-excellent spoken and written(mpe muda aongee au aandike utashangaa".
 

kuna kaukweli but lugha ni lugha na utendaji kazi ni kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…