Nisaidieni machimbo ya mavazi ya stara, mtumba grade one na mpya kwaajili ya biashara

shamsamakame

New Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Naombeni mnisaidie machimbo ninayoweza kupata mavazi ya stara mfano abaya ya mtumba au mapya, pia magau mpya mzuri pia mguo mbali mbali za stara.
 
Naombeni mnisaidie machimbo ninayoweza kupata mavazi ya stara mfano abaya ya mtumba au mapya , pia magau mpya mzuri pia mguo mbali mbali za stara …
Stara fasheni nenda Dubai underground iko Nyamwezi na aggrey. Hapo utapata baibui na abaya, mitandio nenda mchikichi na Swahili kule. Mtafte pia mama mmoja anaitwa mama hawa mitaa hiyohiyo. Mitumba kibao tu, sema mitumba nenda gerezani kule zinakopatikana gari za Temeke zinazopita KEKO
 
abaya mpya ni maeneo gani
 
Back
Top Bottom