Nisaidieni makisio ya gharama ya nyumba hii

Ujenzi huu wa kisasa unapelekea kutumia bati nyingi sana.

Ni njia gani nzuri ya kupelekea uwezekano wa kutumua bati chache ila isiwe hidden roof house.
Mbona ni rahisi tu, usijenge kisasa?
 
Kuna mafundi wanaunga migongo mitatumitatu. Yaani migongo sita inalaliana(mitatu kwa kila bati). Waogope sana.

Kuna wanaounga miwilimiwil. Hawa wanafaa.

Ogopa atakayeunga mmoja mmoja. Nyumba itavuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…