wafanyabiashara huwa hawalipi kodi halali,so kwa wewe unayeleta moja moja,utapata tarrif ya halali,kumbuka kwa serikali yetu TV ni anasa 🙁
miaka siyo mingi sana mpaka around 1992 ilikuwa unapewa kadi ya kumiliki TV,ilikuwa na rangi ya njano kama kadi ya kumiliki gari