Nisaidieni mawazo kwa ndugu yangu huyu

Nisaidieni mawazo kwa ndugu yangu huyu

Shija

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Jamani nina ndugu yangu anataka kusoma bachelor of science in irrigation and water resources engineering pale sua,mim sina uelewa wa kutosha juuu ya kozi iyo na je ina future,mwenye kuelewa vizuri anisaidie ili nami niweze kumsaidia uyu ndugu yangu.
 
Ipo sawa usiogope, nakumbuka baadhi ya graduates niliwahi fanya nao kazi kagera sugar Ltd.
 
Na je baada ya hapo aweza kufanya kazi zipi hasa?
 
Back
Top Bottom