Wandugu mwenzenu nimetokea kumzimia mdada mmoja vibaya.na yeye anajua hilo,sasa celewi kwa upande wake ni hivyo au la..tatizo lingne ni kwamba yuko mbal na ninapoish yaan mkoa mwingne.na nikimtaka aje nilipo anadai yuko biz ile mbaya.hana muda..ila alinikaribisha pia niende na mm biz mbaya,,nipeni njia nzur ya kumvuta kwangu..maana nimeshndwa kabisa kumshawish aje japo cku moja..maelezo hayajakaa vema sana lakin naamini ntakua nimeeleweka