yeye kuja kwako hawezi kisa yuko bize,

wewe kwenda kwake huwezi kisa uko bize

anataka uende kwake

unataka aje kwako

mhhh!! Mi sina njia ya kufanya uwe nae karibu labda kama inawezekana umtumie/akutumie hicho anachokitaka/unachokitaka kwa njia ya posta.

a2mie BLUETOOTH
Nimecheka ulivyomshauri ajifungashe ijumaa ijayo..lol.. Why isiwe kesho?? Afu mwenzie yuko bize, atamkuta kwel jaman??Ubize gani huo hadi unashindwa kwenda. Jifungashe ijumaa ijayo uende. Kama vipi yeye atoke huko wewe utoke huku mkutane kati.