Nisaidieni Mawazo

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Binti yangu amehitimu kidato cha nne 2013 na amepata daraja 1 points 15. Yeye anapenda kusoma Civil Engineering, anataka kuanza na chuo kwa hatua za mwanzo ,halafu ndio aende elimu ya juu kupata shahada. Je kwa hapa nyumbani TZ chuo gani kiko vizuri kuwajenga wanafunzi wenye kiu ya kufika malengo yao. Na je serikali itawalipia gharama za masomo yao? kwa mnaojua haya mambo nsaidieni mawazo tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…