mamayeyoo Member Joined Dec 27, 2013 Posts 86 Reaction score 22 Mar 2, 2015 #1 Mimi nilisoma qt kisha nikajiunga pc nikafaulu kwa marks zifuatazo.(2014) eng-B lite-C Geo-C kisw-C Bios-D civ-D hist-D Math-F nataka kusoma advance ya mwaka mmoja 5&6 HGL kuna madhara yoyote? Zipi faida zake?
Mimi nilisoma qt kisha nikajiunga pc nikafaulu kwa marks zifuatazo.(2014) eng-B lite-C Geo-C kisw-C Bios-D civ-D hist-D Math-F nataka kusoma advance ya mwaka mmoja 5&6 HGL kuna madhara yoyote? Zipi faida zake?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 2, 2015 #2 Kwa nin ulipata maths F?