ni harufu ya jasho tu na kikawaida binadamu wote (including you and me) tukifanya kazi ngumu au kutembea mwendo mrefu tunatoa jasho na kisha harufu ya kikwapa. so haihitaji dawa zaidi ya kuoga na kupumzika. ila waweza kumshauri (na kumuwezesha if possible) kutumia uturi na/au marashi baada ya kukoga kadiri ya mapenzi na uwezo wenu
Wacha unyanyapaa kwa demu wako wewe, ongea naye kwa makini, mweleze mtafute solution woteMambozz
Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile
Nataka nimnunulie kama zawadi any medication itakayo ondoa tatizo hilo.
Naombeni ushauri zawadi ya kumnunulia kutatua tatizo hilo
Heshima daima....
Mambozz

sawa kabisa miss J. Lakini ingekua poa ukashaur na uturi/unyunyu unaoweza tatua tatizo.
Kweli ni kitu cha kawaida lkn naona kwake yeye ni tofauti kidogo. Namaanisha it's little too much.
thanx
Mambozz
Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile
Nataka nimnunulie kama zawadi any medication itakayo ondoa tatizo hilo.
Naombeni ushauri zawadi ya kumnunulia kutatua tatizo hilo
Heshima daima....
we mganga wa jadi, utaunguza watu makwapa.akate limao nusu, apake kwenye kwapa dakika 10 - 20 kabla ya kuoga.
we mganga wa jadi, utaunguza watu makwapa.
lemon juice lazima iwe diluted vinginevyo ngozi ita suffer burns, welts and or redness. Tahadhari nyingine ni kujaribu concentrations ndogo kwanza na kuongeza taratibu kwa kuangalia reaction on the skin.
asipopaka juice ya limao atafanyaje, atembee umebana "kipande cha limao kama kilivyo" kwapani?? hilo kwapa limeoza?Sawa tabibu wa kuzungu. Mganga hajasema ukamue juice, la hasha. Tumia kipande cha limao kama kilivyo.