Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Ndugu yangu anaumwa sana alipoenda hospital muhimbili wamesema figo imejaa maji wakati hindu mandal wamesema moyo ndio tatizo haufanyi kazi vizuri. Mwili mzima umevimba na upumuaji umekuwa wa shida sana hatembei miguu yote inauma na uongeaji umekuwa wa shida sana. Ushauri na maombi yako ni muhimu sana.
Ndugu pole sana kwa hayo matatizo ya ndugu Fuatilia maelezo ya Dr Riwa yeye amemaliza kila kitu Muwahishe kwa wahusika Ma-Daktari Mabingwa ili upate kuyaokowa maisha ya ndugu yako pole sana Kaka mwisho Mwenyeezi Mungu atamponyesha kwa jitihada za Ma-Dakatari ameen.Ndugu yangu anaumwa sana alipoenda hospital muhimbili wamesema figo imejaa maji wakati hindu mandal wamesema moyo ndio tatizo haufanyi kazi vizuri. Mwili mzima umevimba na upumuaji umekuwa wa shida sana hatembei miguu yote inauma na uongeaji umekuwa wa shida sana. Ushauri na maombi yako ni muhimu sana.