K Konzogwe JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 434 Reaction score 156 Jan 29, 2013 #1 Wakuu nawasalimu, ama baada ya salam naomba mnisaidie kujua procedures za kuanzisha charity organisation kwa hapa kwetu Tz.Natanguliza shukrani!
Wakuu nawasalimu, ama baada ya salam naomba mnisaidie kujua procedures za kuanzisha charity organisation kwa hapa kwetu Tz.Natanguliza shukrani!
Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 7,672 Reaction score 9,039 Jan 29, 2013 #2 Kama hujui procedures unataka kuanzisha ya nini na nini? Au ni wale wale akina WAMA? Kawauulize Salma Kikwete, Shariff Majaar au Anna Mkapa watakwambia ila utachemsha kwa vile wewe si mke au mume wa mkubwa.
Kama hujui procedures unataka kuanzisha ya nini na nini? Au ni wale wale akina WAMA? Kawauulize Salma Kikwete, Shariff Majaar au Anna Mkapa watakwambia ila utachemsha kwa vile wewe si mke au mume wa mkubwa.