Ndugu zangu heshima kwenu,
Nimejitokeza kuulizia hili kwa sababu sina ufahamu nalo kidogo binafsi nina mpenzi wangu ambae tumekuliana tupate mtoto lakini shida inakuja kua mimi nashindwa kujua mzunguko wake umekaaje.
Mwezi wa June tar 24 aliingia M.P amekuja kuingia tena tar 24 mwezi hui wa saba, hapo nashindwa kujua mzunguko wa huyu mtu ni wa siku ngapi na pia kama M.P yake ya mwisho kaingia tar 24 July na M.P kuisha imechukua karibu siku saba je naweza kukutana nae ili tupate mtoto?