Sasa mimi ningekusaidia sema sijawahi kupata mzunguko wa hedhi maana sio jinsia hiyo ila kama mlikubaliana kwanini usiulize au ndo wamekuman Fongo?

bro labda nmekosea nn hapo kuuliza?Muulize hata yeye anajua au unamuogopa???
Alafu uandishi mbovu sana huu mkuu, watu wanaweza wasikuelewe kabisa
hawajanimanfongo wala nn kaka, iko hv ni wasichana wachache wanaotambua hilo,, nmeomba tu ufafanuzi njueSasa mimi ningekusaidia sema sijawahi kupata mzunguko wa hedhi maana sio jinsia hiyo ila kama mlikubaliana kwanini usiulize au ndo wamekuman Fongo?
shukran sana ndg kwa maelezo yako mazuri nilihitaj kujua maana elimu hyo sikua nayo mm zangu ni mahesabu elim ya biologia ilinipita pembenKwa kawaida mzunguko ni siku 28. Nusu ya 28 ni sawa na 14(Hapa ni katikati ya mzunguko. Baada ya yai kupasuka unona damu ya mp na wakati huo yai jingine linaanza mchakato wa kusogea na kufika katika mji ya mimba siku ya 14 na hukaa hapo kusubiiri mbegu dume kwa siku 14 zingine na likikosa hupasuka then mp ya mwezi mwingine. Sasa Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya mp, hapa ataendelea mpaka damu ikate endelea kuhesabu mpaka siku ya 12 fanyeni mechi mpaka siku ya 16 hapa anaweweza kunasa kama mtafanya yenu katika siku hizi. Ila kwa mujibu wa sayansi ni kwamba siku ya 14 inamatokeo chanya zaidi na unaweza pata mtoto wa kiume. Kwahiyo siku za kupanda ni kati ya siku ya 12-16 kama afya zenu ziko sawiya. Kwakua siku ya 14 ndio katikati ya mzunguko hivyo siku mbili kabla na siku mbili baada hutumika ili kulenga mabadiliko yoyote ya kushitukiza(dharulaa) na ni vema siku hizo msizichezee kama lengo ni kuzaa, na hapo kisayansi unaweza pia kujaribu kupanga jinsia ila kiimani mi sijui......
nina iman fika kua hata ww sio kila jambo unalijua ndg angu, ni vema hata mm nmependa kujua ikoje wala kulea siwezi shindwa ila shukran kwa mawazo ako.sasa kama jambo dogo hivi umeshindwa kulitafutia ufumbuzi mpaka umelileta huku jf,utaweza kweli kulea huyo mtoto unayetaka azaliwe?
Mwambie tu agegede kila baada ya siku 2 mwez mzma lazma ampachike hii kuvizia siku ni bahati nasibuMuda wa kuandika uzi ungekuwa umesearch google umepata jibu.
Mwenzako hayupo tayar kuzaa na wewe, angekuwa tayar angekuwa ameshajua haya mambo
Take your time tafiti upate information za kutosha, just google; trying to conceive