Nisaidieni Nautafuta sana. Kwa miaka mingi sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huuu wimbo wa miaka mingi sana. miaka ile ya 90 ilikuwa maarufu sana

"Sunday eeeeh....pole sana sunday eeeeh......."

Kuna sehemu wanaimba wana sema alivaa viatu huyo mdada vinalia kooh kooh kooh...
unaimbwa hivi
"..........kesha lakini kaburi lakungoja"
Natafuta Jina la Band/ Waimbaji na au jina la ile Album. miaka hiyo ya nyuma sana ilizungumzia pia kuhusu ngoma, ukimwi, umeme.
 
Jirekodi ukiimba labda kuna mtu ataelewa
 
sunday uko wapi sunday...sunday anaumwa ukimwi sunday... kitambo sana wakati mapambano na kampeni dhidi ya ukimwi yamepamba moto.
 
Umenikumbusha nilienda Library ya kurusha miziki nikakuta mteja anamwambia jamaa anaerusha,

"Natafuta wimbo ambao kwenye video kuna mtu kavaa kofia nyekundu anarukaruka".
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Raha sana
 
Huuu wimbo wa miaka mingi sana. miaka ile ya 90 ilikuwa maarufu sana

"Sunday eeeeh....pole sana sunday eeeeh......."

Kuna sehemu wanaimba wana sema alivaa viatu huyo mdada vinalia kooh kooh kooh...
unaimbwa hivi
"..........kesha lakini kaburi lakungoja"
Natafuta Jina la Band/ Waimbaji na au jina la ile Album. miaka hiyo ya nyuma sana ilizungumzia pia kuhusu ngoma, ukimwi, umeme.
Sasa huo wimbo si komasava au
 
Back
Top Bottom