Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Jirekodi ukiimba labda kuna mtu ataelewaHuuu wimbo wa miaka mingi sana. miaka ile ya 90 ilikuwa maarufu sana
"Sunday eeeeh....pole sana sunday eeeeh......."
Kuna sehemu wanaimba wana sema alivaa viatu huyo mdada vinalia kooh kooh kooh...
Natafuta Jina la Band/ Waimbaji na au jina la ile Album. miaka hiyo ya nyuma sana ilizungumzia pia kuhusu ngoma, ukimwi, umeme.
View attachment cheka lakini.m4aJirekodi ukiimba labda kuna mtu ataelewa
Ameubadilisha maneno kiasi ila ndo wenyewe. Nashukuru sana. Aiseeeee miaka mingi sana.
π π π π π we kweli chizi maarifa, aisee umenichekesha sana, fala wewe
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Raha sanaUmenikumbusha nilienda Library ya kurusha miziki nikakuta mteja anamwambia jamaa anaerusha,
"Natafuta wimbo ambao kwenye video kuna mtu kavaa kofia nyekundu anarukaruka".
Wee chizi utatuua kwa kicheko π€£π€£
Sasa huo wimbo si komasava auHuuu wimbo wa miaka mingi sana. miaka ile ya 90 ilikuwa maarufu sana
"Sunday eeeeh....pole sana sunday eeeeh......."
Kuna sehemu wanaimba wana sema alivaa viatu huyo mdada vinalia kooh kooh kooh...
unaimbwa hivi
"..........kesha lakini kaburi lakungoja"
Natafuta Jina la Band/ Waimbaji na au jina la ile Album. miaka hiyo ya nyuma sana ilizungumzia pia kuhusu ngoma, ukimwi, umeme.
HeheheUmenikumbusha nilienda Library ya kurusha miziki nikakuta mteja anamwambia jamaa anaerusha,
"Natafuta wimbo ambao kwenye video kuna mtu kavaa kofia nyekundu anarukaruka".
Kanichekesha sana huyu jamaaπ πWee chizi utatuua kwa kicheko π€£π€£
Mmetaka wimbo nimewapa... Mnaanza kuingiwa tamaa. Nikitoka studio ndo mtanisikia nataka kutoa albumKanichekesha sana huyu jamaaπ π
Lakini ndio wenyewe sema vocal yake chizi ipo ki'comedy comedyKanichekesha sana huyu jamaaπ π