jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 992 Dec 10, 2013 #21 poleni sana ila cheki na Mzizimkavu km alivyosema atakusaidia.
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,658 Reaction score 8,994 Dec 11, 2013 #22 ndugu mbona unahangaika yesu yupo kwa ajili yake nenda kanisani kwa waliokoka nashauri nenda kawe au efatha au mikicheni jini kiumbe kidgo sana mbele za yesu
ndugu mbona unahangaika yesu yupo kwa ajili yake nenda kanisani kwa waliokoka nashauri nenda kawe au efatha au mikicheni jini kiumbe kidgo sana mbele za yesu