nimekuelewa mkuu ila kama unavyojua tuko mbali na ukiona kuna mtu anataka kukujuza usiyoyajua kuhusu mwenzi wako halafu ni mdogo mtu nadhani utatamani kujua zaidi nami ndivyo nilivyokuwa,najiamini mkuu ila ni vyema kuchukua tahadharimdogo wake anakutaka. Halafu ulipomtongoza mkapendana na kukubaliana kuwa pamoja mdogo mtu alikuwepo?mbona unamshirikisha? Hujui penzi ni watu wawili tu? Hujui kuna waharibifu wa mapenzi? Mbona haujiamini kwenye mahusiano yako una tatizo gani?