Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Habari za humu ndugu zangu,
Usiku wa leo nimepata jeraha baada ya kuchimwa na msumali mguu wa kushoto.
Msumali unakutu. Kitu cha kwanza nimefikiria kesho niende hospital kwa ajili ya sindano ya tetenus, lakini mwaka huu mwezi wa 7 nimechoma sindano ya tetenus mara mbili.
Je, kuna haja ya kuchoma sindano hiyo tena?
Asanteni.