Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Sijakuelewa kiongoziUwe unasafisha mazingira sasa
Naona unataka kutumalizia dawa hospitalini
Pole mkuu mimi Sijui lolote kwa kweli ungegoogle tuu
Kwa kuanzia tia iodine afu kesho waone wataalamu watakuwa na majibu sahihiSijakuelewa kiongozi
Kwa kuanzia tia iodine afu kesho waone wataalamu watakuwa na majibu sahi
Tayari una kinga
Nimechomwa mara mbili tu last time.