Nisaidieni Nimezoea Hivi..!

Mr. SADC_TZ

Senior Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
105
Reaction score
22
Hodi hodi hapa uwanjani..!

Hivi kwanini huwaga naugua vidinda vya limi mara Baada ya kuingia CHUMVINI.

But i cant stop kuingia chumvini...cause my girl likes it a lot.
 
ushaona kichaka bado mavi yamekubana?????? wewe ukiingia unatika vidonda usie acha mchezo huo unakazania because she loves you a lot on my ass??? endelea tu wala havina madhara tena hakikisha na ulimi unaingia deep
 
Tafuta njia ya kumridhisha mwanamke wako tofauti na hiyo umeshaona unapata madhara bado unakomalia jipende kwanza wewe ndugu mwisho upate kansa ya koo !hebu jitambue
Mshirikishe mpenzi wako pia kama anakomaa uende chumvini afya ni mtaji ,afya ni utajiri.Amka usingizini
 
Umepata infections tayari una moyo kweli jinsi siku hizi kuna mi uti utapata kansa shauri yako
 
Hodi hodi hapa uwanjani..!

Hivi kwanini huwaga naugua vidinda vya limi mara Baada ya kuingia CHUMVINI.

But i cant stop kuingia chumvini...cause my girl likes it a lot.
majimaji ya uke yana virus vya HIV... na wewe una vidonda kwenye ulimi.. imagine matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…