Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari Jamii Doctor,
Ninasumbuliwa na vidonda vya mdomoni vinakuwa kama viupele halafu baadaye huwa vinaongezeka na kuwa kidonda kikubwa kiasi na kichwa kuuma na tumbo halafu mate huwa machungu sana.Vilevile mkojo huwa wa njano sana.