Kwa ufupi ni kwamba nahitaji msaada wa namna ya kupata admission kwa urahisi na haraka kwani mwajiri wangu ameniruhusu nianze masomo ikiwezekana mwaka huu. Nimechelewa kuanza kutafuta ndio maana naomba msaada ili nisipoteze muda mwingi kutafuta wakati kuna watalaamu kibao wenye useful info hapa.
Najua nchi za Scandinavian vyuo vingi (kama si vyote) hawacharge tuition fees. Kwa USA tuition fee ni kwa kwenda mbele. In short nataka ushauri wa namna ya kupata admission kwani scholarship naweza kutafuta provided nimepata admission.
Mzumbe university tunaweza kukusaidia katika hili. Huna haja ya kwenda ng'ambo. Wasiliana na Idara Husika