Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
hivi na wewe uko chuo kikuu???Kama kichwa kinavyojieleza wakuu ambao mnazo naomben mnisaidie hizo note
hivi na wewe uko chuo kikuu???
Nashangaa! Mwanafunzi wa chuo unasoma notes badala ya kudadavua vitabu mbalimbali? Ndo maana siku hizi hakuna tofauti kati ya mwanachuo na mwanafunzi wa sekondari katika kupambanua na kujenga hoja.
wee hata notes nimuhimu maana ndo zinakuelekeza upite wapi usome nini sasa ujing'ang'ania vitabu tu utajikuta uko out of topic
hivi na wewe uko chuo kikuu???
Wewe nawe unaweza kuwa Mbulula tu, kila anayetaka notes za Business Law ina maana yupo chuo kikuu?
Wewe nawe unaweza kuwa Mbulula tu, kila anayetaka notes za Business Law ina maana yupo chuo kikuu?
Hvi hlo ndo jibu la swali lake la nawe upo chuo kikuu?,ndo maana huwa mnafeli yan kujibu ndio au hapana ulishndaje?
nadhani wewe ndio mbulula zaidi,hapo kaulizwa kama yupo chuo kikuu au laah,alitakiwa atoe jibu!