nisaidieni pliz

kama mume ana jambo lazima amweleze mkewe kwa hiyo kama ni mtu hataki kupokea cm yake lazima atakua ameshasema kwa sababu mume au mke ni zaidi ya rafiki

kinadharia, yes, but in the real world, not necessarily....
 
ingekuwa anjibu vibaya au kuuliza vbaya labda utasema hivyo.kwan boss ye ni mungu hawez kuambiwa muhusika hayupo....aaaaah jaman acha izo
 
mie wa kwangu ilifika kipindi nsitaniane na mtu kwenye simu.......imefika kipindi nkiend a kulala naizima na ninapoamka naiwasha....nilimwambia nafanya hivyo makusudi ....sasa hivi hata ikiita hataki hata kuigusa.....na mie sitaki kugusa ya kwake!!

ndioyo yale yale...haluna kitu mbaya kama kutaka kuwa POSSESIVE...... ndoa sio tiketi ya kuposses mtu!!
 
ni dalili ya kutokujiamini,kila muda unahisi unaibiwa tu,haifai acha kabisa
 
duh, mie mtu akininyima simu nakonda wakati yeye ananenepa.

It does not make sense to me kunyimana simu, hata kama sitapekua simu yake, asipandishe presha akikuta nimeishika.
 
achana na mambo ya kushika simu ya mtu-hata akiwa nani yako,Tbaia hiyo ukiizoea ni mbaya na ukiipenda itakuwa inakupa tabu sana maana utajukuta unasoma sms za humo ndani na kukuta mambo yatakayo kuoa presha.
achana nayo
 
Ofcourse boss /mfanyabiashara mwenzio si Mungu, point hapa unajenga picha gani? Mtu anaweza dhani umekataa kupokea simu yake makusudi na umemtumia mkeo 'kujifanyaa' haupo.... Inaweza kukukoseshz madili mjini hapa..........

Afterall simu si yako kwa nini uipokee?



ingekuwa anjibu vibaya au kuuliza vbaya labda utasema hivyo.kwan boss ye ni mungu hawez kuambiwa muhusika hayupo....aaaaah jaman acha izo
 
Siustaarabu hata kama ni mumeo. Haina haja kujibu si ataziona misscall na swali langu ni hivi ni sawa mumeo kujibu simu zako?

Myself, I woudn't want hata kama sina hidden agenda

Wanaokataa wenza wao wasipokee sm ni wakora tu! Mi kwangu ni powa tu kupokea sm kwa sababu sina kitu cha kumficha mpenzi wangu, mama watoto wangu.
 
Binafsi najitambua nina moyo mwepesi ambao hautaki kuishi kwa mashaka wala kash kash yoyote,
Isitoshe najiami na ninamwamini pia,ila kamwe hata kwa ushawishi wa aina gani,
Sitaki na siko tayari kupokea wala kushika simu yake na hata nikigundua nimekaa jiran nayo nitahama kochi,
Ananishirikisha kila kitu na wala sina mashaka yoyote naye na yuko huru hata kushinda kutwa nzima na simu yangu na kuishika wakati wowote atakao naye pia ameniruhusu kufanya ivo kwa simu yake ila SITAKI KBS japo hajui km sitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…