thanx mpz wacha ni mp sasaivi coz rafiki yangu eti kaniambia ninywe wine ili nilale nisiusikie ukiuma loh!Heee! Mpendwa pole jamani.
Kuna member humu anaitwa riwa ni dokta, jaribu kumPM labda aweza kupa first aid. Pole mamito, usiache kwenda hosp.
nilishaenda wameniambia hawaoni tatizo so nijaribu kujicontrol eti kwakujipa furaha mda wote sasa ndio cwez mana mauzi ni mengi yamemzunguka mwanadamu kila kukicha sasa mm uzi moja tu mgonjwa taabani ndio mana naomba maushauri ya mm kuweza kujicontrol.Nenda haraka hospitali wala huna haja ya kusubiri ushauri hapa jukwaani. Pole sana
nilishaenda wameniambia hawaoni tatizo so nijaribu kujicontrol eti kwakujipa furaha mda wote sasa ndio cwez mana mauzi ni mengi yamemzunguka mwanadamu kila kukicha sasa mm uzi moja tu mgonjwa taabani ndio mana naomba maushauri ya mm kuweza kujicontrol.
thanx mpz wacha ni mp sasaivi coz rafiki yangu eti kaniambia ninywe wine ili nilale nisiusikie ukiuma loh!
thanx vr much
nasikia maumivu sana moyoni mwangu na ni makali sana cwez kujizuia nahisi kama moyo unavuja damu ndani kwa maumivu niliyonayo...........hali hii hunitokea kila nikipata kitu chochote cha kunishtua .........niliwai kwenda medical wakaniambia cna tatizo lolote ila mm maumivu nayackia ndani ya moyo wangu makali sana na leo yamezidi ni makali mnoooooooooo..........i cant take it any more
ishu iko hapo kwenye kupuuza ndio cwez an that wats cost me every day ma love alfu huyo riwa mbona cmuoni mwe
ndio hao mkuu wameniambia cna tatizo ila niwe naripot kwao kila bada ya wiki moja mara moja sasa wakati nasubiria ndio maumivu na yenyewe yako bado an i cant do nothingsio kila daktari ni daktari
tafuta wataalamu wa moyo,ndo wanaitwa cardiologist
nifundishe tu mpz mana cwez hua unauma ila hata mtu akinistua kidogo tu inachukua ka cku 4 ivi maumivu kuisha sasa sijui ni kwann na cwez kukaa mbali na watu ili niepukane na kero izo na cwez kuishi dunia ya mm mwenyewe,kun akitu ilinitokea 4miaka iliyopita sasa cjui ndio hadi leo inaleta maeffect,ndio ivo hata ukidongosha kikombe mm inachukua mda sana yale maumivu ya msituko wa moyo kuondokaukishaandika pm kwenye receiver andika Riwa.
Kwahiyo mtu akikuuzi huwa unafanyaje? (inabidi tufundishane namna ya kupuuzia kero) lol.