Nisaidieni tiba mbadala ya taifodi

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Nimetumia dawa nyingi za hospitali sasa nimeamua kusalimu amri kwenu wanajf mniokoe kwani ni mwaka wa 3 sasa taifodi inanisumbua.

Msaada wa mitishamba please.
 
Nimetumia dawa nyingi za hospitali sasa nimeamua kusalimu amri kwenu wanajf mniokoe kwani ni mwaka wa 3 sasa taifodi inanisumbua.

Msaada wa mitishamba please.

Mkuu nenda pale kariakoo kwenye maduka ya dawa za kienyeji zinauzwa elf 500,chemsha maji ya kunywa au tumia filter kuchuja maji ya kunywa,usipende sana kula salad mbichi ya kabichi,osha matunda na maji yanayotiririka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…