Nisaidieni tiba ya ugonjwa wa mtu kula magodolo ni ipi?

Nisaidieni tiba ya ugonjwa wa mtu kula magodolo ni ipi?

osokoni8148

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
69
Reaction score
47
Tafadhali naombeni msaada,

Kwa mtu yeyote anayejua tiba ya mtu anayependa kula magodolo.Ninaye ndugu yangu mwenye tatizo hilo na imekuwa vigumu kwake kuacha kiasi kwamba inatishia uhai wake.

Hadhi yake lakini pia kumshushia heshima yake mbele ya jamii inayomzunguka.Tumefatilia tiba mahospitalini lakini mara zote tunaambiwa ni tatizo la kisaikolojia zaidi.

Naomba kwa yeyote anayejua tiba, iwe ni hospitalini au traditional,

Tafadhali anijulishe.
 
Daah! Pole sana hilo tatizo kubwa sana!!! Na magodoro ni sumu kwenye mwili wa binaadam. Nadhan huyo yuko addicted km ilivyo kwa walevi wa pombe au mihadarati.

Mpeleke kwenye rehabilitation center!
 
Kama ulivyosema hospitalini tiba zimegoma,mpeleke kwenye maombi!!faster atachukia hata hiyo arufu ya godoro!!!
 
Tafuta vitu mbadala wa magodoro ya sponji na badala yake tumia magodoro ya sufi. Akivikosa vitu hivyo ndani kwa muda mrefu ataacha
 
Tafadhali naombeni msaada,

Kwa mtu yeyote anayejua tiba ya mtu anayependa kula magodolo.Ninaye ndugu yangu mwenye tatizo hilo na imekuwa vigumu kwake kuacha kiasi kwamba inatishia uhai wake.

Hadhi yake lakini pia kumshushia heshima yake mbele ya jamii inayomzunguka.Tumefatilia tiba mahospitalini lakini mara zote tunaambiwa ni tatizo la kisaikolojia zaidi.

Naomba kwa yeyote anayejua tiba, iwe ni hospitalini au traditional,

Tafadhali anijulishe

Huyo amevamiwa na mapepo. Mpeleke kanisani akafanyiwe maombi. I mean kanisa la kiroho na siyo ya dini yapo mengi(mikocheni kwa rwakatare likiwa moja wapo). Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom