osokoni8148
Member
- Jan 13, 2014
- 69
- 47
Tafadhali naombeni msaada,
Kwa mtu yeyote anayejua tiba ya mtu anayependa kula magodolo.Ninaye ndugu yangu mwenye tatizo hilo na imekuwa vigumu kwake kuacha kiasi kwamba inatishia uhai wake.
Hadhi yake lakini pia kumshushia heshima yake mbele ya jamii inayomzunguka.Tumefatilia tiba mahospitalini lakini mara zote tunaambiwa ni tatizo la kisaikolojia zaidi.
Naomba kwa yeyote anayejua tiba, iwe ni hospitalini au traditional,
Tafadhali anijulishe