Nisaidieni tunataka Mtoto na Mchumba wangu.

Poleni sana, nikupongeze kwa kuandika kwa utaratibu ulio mzuri, maana yake umesoma vzr,
Kwa hiyo elimu yako nashangaa tena kuongelea "Chango la uzazi" ? ?

Pili bado nashangaa kuchemsha mizizi na kunywa kama matibabu na bado hujafika Hospitali ? ?
Lingine linalonishangaza mnatafuta uzazi wewe na mchumba wako ? ? nani huyo akupe mwanae uchezee ubikiri tena uzalishe bado ni mchumba tuu ? akishazaa ndipo ataitwa mke ? ?

Naamini ukishatoa mahari wazazi wake wakatoa Baraka zao hutahitaji tena mizizi yako hiyo maana Mungu atawasimamia.

Utakuwa unaishi Tanzania ya wapi wewe ? kumbe hii nchi bado tuko nyuma sana. bila shaka huko uliko ndio bado mnampigia kura nyerere akiendelea kuongoza.

USHAURI WANGU : 1. Toa mahari awe mke wako halali
2. Nenda Hospitali haraka sana
 

Ahsante Silicon Valley Pia ni series
niliyowahi kuipenda sana

Nashukuru zaidi hapo pa "ushauri wako"
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Subira Iwepo Muhimu Sana Maelewano
 
Pamoja na michango ya wengine, kama siku zake hazina mpangilio maalum inabidi mjaribu kila mnapoweza na sio tu kwenye siku mnazodhani ni hatari.
 
Wewe Endelea Kula Mzigo tu majibu yatajileta

Umenikumbusha, niliwahi kudanganya mtu eti ili kupata mtoto inabidi tupige kazi daily ndani ya mwezi mzima.

Ndani ya wiki mbili tu kiuno kilikuwa siyo changu. Ila ilibidi race iishe kibishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…