Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
doesn't matter.wewe mkumbushe ikiwezekana muombe number ya wazazi wake then uwapigie uwaambie ukweli kuhusu mwanafunzi kumiliki simu even if ni nyumbani then mkanye huyo dogo final block her then pita hivi.labda kama una nia zako....hawa watoto wako nyumbani kwao nahisi baadhi ya wazazi wanaleglize watoto kutumia simu wakiwa nyumbani
Mwalimu hujui hata kuandika legalize, pole, jiandae kufundishwa na hako kabinti kanuka mkojo.hawa watoto wako nyumbani kwao nahisi baadhi ya wazazi wanaleglize watoto kutumia simu wakiwa nyumbani
wanawake wana vitimbi sana.ni kweli ila wapi kaitoa namba yangu tu
Sababu zipi?.Huu ni uharibifu sababu unabadilisha maana ya neno na unabadili pia umbile lake.
Huwa sipendi jinsia ya kike aniite "mkuu",nina sababu zangu zaidi ya mbili juu ya hili.
Nitakwambia.Sababu zipi?.
Hivi ni kwanini "Mkuu " inatumika.?
Naona imekaa kiunyenyekevu kwa kumnyenyekea mtu.
hawa watoto mkuu lazima uwakazieIla siku hizi Kuna uhaba wa wanaume, Kama unaona ni kero kwako na humuelewi mpige block, au mchimbe mkwara simple as that, masuala ya kumkomalia amepata wapi namba yako na ni mwanafunzi wako inaonyesha jinsi gani ni ulivyo bado-mtoto a.k.a mvulana
sasa mkuu typing error inakupa wengeMwalimu hujui hata kuandika legalize, pole, jiandae kufundishwa na hako kabinti kanuka mkojo.
namba fb siku hizi hazionekani mkuuKama unatumia Facebook kaipata fb kwenye profile yako. Kama unabisha weka jina unalotumia fb nikuwekee namba yako
sawaMwalimu gani hata kuandika hujui? Au unapika maandazi hapo fasi?
sawaMwalimu gani hata kuandika hujui? Au unapika maandazi hapo fasi?
Mr. Zurri,Huu ni uharibifu sababu unabadilisha maana ya neno na unabadili pia umbile lake.
Huwa sipendi jinsia ya kike aniite "mkuu",nina sababu zangu zaidi ya mbili juu ya hili.
Ungemwita tena "mkuu" mimi naona ni zuri na linaendana nae.
Inapendeza.
Nimeacha.Ungemwita tena "mkuu" mimi naona ni zuri na linaendana nae.
Jurjani haya acha kumkompiketia Carleen vitu.