Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati mwingine busara itangulie ,utani kaufanyie huko! mwenzio anauliza masuala nyeti wewe unaleta za kuleta!Msisahau kuvaa bullet proof vests.
Jaribu kuchukia masai shuka.....shanga......vitu vya asili ya Kitanzania......sandals zile zenye shanga........etc....
Jaribu kuchukia masai shuka.....shanga......vitu vya asili ya Kitanzania......sandals zile zenye shanga........etc....
Kwa nini achukie hivo vitu, vina tatizo gani?
we nae........haya basi karekebishe......si bado password yangu unayo........
kama unaenda kwa ajili ya dini fanya dini, kama unaenda kibiashara fanya biashara ila ukichanganya mara zote biashara itaimeza dini na kama ni dini ndio kusudio hutaambulia kitu