Mchomamoto
Senior Member
- Aug 19, 2011
- 169
- 36
Ujue kuna mgomo wa madaktari kongosho?... Punguza kutengua mbavu za wenzio jamani lol!ukiona hivyo ujue umeshiba, ukilala na njaa hutaona hiyo kitu.
Mhh,sheikh yahaya kafa mapema, lakini all in all nadhani unampenda sana na huwa unapenda jinsi anavyokupa game kiasi mpata unaota na kufanikiwa kujimalizia mwenyewe
Ujue kuna mgomo wa madaktari kongosho?... Punguza kutengua mbavu za wenzio jamani lol!
Punguza mawazo kungonoka kila saa
hayo ni mambo ya kawaida,kuota ni kawaida
hayo ni mambo ya kawaida,kuota ni kawaida
Wana JF wenzangu, mwenzenu nina mchumba na ndie ninae tarajia kufunga nae ndoa, tunakutana muda tuutakao na kupeana mambo yote ya kimahaba na tunapendana sana. Tatizo langu ni kuwa NAPATA NDOTO ZA USIKU KUWA NAFANYA MAPENZI na hufikia kupiga bao nikiwa ndotoni yaani hasa nisipokuwa nae,na sio kwamba nakuwa na mawazo sana juu yake hapana maana hata wakati mwingine nachoka na shughuli zangu za kutwa lakini inatokea napiga bao. Naomba mnisaidie je ni tatizo la kiafya au ni nn hasa tatizo?
kama wanatinduana fresh na mwenzie hatakiwi kuota...
Thanks BAGAH nadhani umetambua tatizo, tunatinduana vya kutosha tu wala hakuna shida ya kukosa penzi muda wowote ule lakini tatizo hilo linanipata mara nyingi na sio kweli kuwa nawaza sana,lakini nawashukuru sana wana JF kwa kuonyesha kujali member nathamini wote wanaochangia na kupokea ushauri wao!!