Nisaidieni wana JFwenzangu, ni tatizo hili

Hapo tatizo hakuna !
Lingekua tatizo kama ingekua unaota kinyume chake.
Si unaota una mega ? Shwari tu, ungeota unamegwa wewe hapo tatizo lingekuwepo.
Mbwa kumuuma mtu sio news !
News mtu kumuuma Mbwa !
 
ukilala uvae kabisa kondom ili usije ukampa huyo wa ndotoni mimba.
MP.
 
inawezekana jini mahaba hilo its very pocble ma dya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…