kama zamani ilikuwa hivyo ilikuwaje wakaacha tabia hii, ili mleta maanda awe na imani nao...Zamani ilikuwa kweli ila sio siku izi
wazazi wanasema kamwe hawakubaliani kumuoa mchaga wa machame
eti baada ya mwanaume kuwa na mali huwa wanauwa waname.
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana
sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe hawakubaliani kumuoa mchaga wa machame
eti baada ya mwanaume kuwa na mali huwa wanauwa waname. Je hoja hii ina ukweli kwa wale wanao wafahamu vizuri?
Ukimuacha huyo utaregreat 4 the rest of ur miserable life hakuna wanawake mafighter katika maendeleo kama wamachame na mfano mzuri kati ya wanaume wote wenye mafanikio hapa nchini wameoa wamachame Mengi reginald mkewe mmachame nadhani huhitaji kujiumiza kichwa kujua mafanikio yake Mbowe wa Chadema mkewe mmachame unaona alipo sasa bora ugombane na wazazi kuliko kwenda kuoa mwanamke asiye chaguo lako kumbuka wazazi kazi yao walishamaliza na wataondoka utabaki wewe na maisha yako kuna mshlj wangu ilikuwa kama wewe akamuacha dada wa watu akaenda kuoa mchaga wa kibosho kiruu chaaa anajuuta saa hizi kazi yao kubwa ni kuachana na kurudiana yaani mara 3 kwa mwaka wanaachana kila siku kesi haziishi na hata bajaji hajanunua kikorola alikuwa nacho kabla alikiuza na hajui hela iliishia wapi fikiria chukua hatu!!!
wamachameeeee!!!
hahaha Kekuu!Tupooooooooo!!!..............Tena ningekuwa mimi natafuta mwenye pesa kabisa,nikishampata tu ......wanazika......sitaki tabu za dunia eti mpaka nikaishi naye weeee,mpaka apate mali ni leo?...(ukizingatia mi nitakuwa nimekaa tu nyumbani)nasubiri azitafute ili nimuue.Hii itanipotezea muda.
acha ushabiki wa ki......! Huo ushahidi unaosema aliuawa babako au wewe mwenyewe? Mxx!!Kaka hao watu manatisha, ushaidi ninao, usije ukajuta siku za mbele. Chukua hatia. Asiyesikia la mkuu...........!