Nisaidieni

Nisaidieni

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Jamani leo ni siku ya tatu mkono wangu umejikunja haunyooki, ulianza na maumivu ya mbali siku ya pili nimeanka mkono una maumivu alafu umejikunja haunyooki na siku ya tatu umeanza kuvimba sehemu ya nyuma ya kiwiko je huu ni ugonjwa gani?
 
Mimi sio mtumiaji sana wa mbuzi choma.
 
Nakushauri nenda hospitali mapema,hapo inawezekana kuna kuumia hata bila kujua na pia infection kwa ndani ndo maana unavimba.Pole sana Mavella.:disapointed:
 
Pole mkuu nenda hospitali ikifahamika ni nini itakuwa rahisi kukusaidia.
 
mkuu wahi hosptal ukachek ujue nn shida
 
Some kind of minor- stroke?...Wahi hospital broda!
 
Tiba yake itapatikana hospitali.
 
kimbilia hospitali.

pia inawezekana waswahili wameona una laptop wamekuloga.

pole sana greti thinka.
 
Jamani leo ni siku ya tatu mkono wangu umejikunja haunyooki, ulianza na maumivu ya mbali siku ya pili nimeanka mkono una maumivu alafu umejikunja haunyooki na siku ya tatu umeanza kuvimba sehemu ya nyuma ya kiwiko je huu ni ugonjwa gani?

Pole mkuu, muone Dk haraka sana maana hiyo inaweza iwe dalili ya stroke; Kama hujaumia kipindi cha nyuma.
 
ukiangalia wote humu wanakushauri uende hospitali....hivyo fuata huo ushauri haraka sana kabla hali haijawa mbaya zaidi. pole sana ila naamini Mungu atakusaidia upone haraka.
 
kimbilia hospitali.

pia inawezekana waswahili wameona una laptop wamekuloga.

pole sana greti thinka.

Tehe tehe hapo kwenye redi umenifurahisha inawezekana wamemloga asisome Jf
 
wana jf leo mapema kabisa niliwahi hosp niliangalia BP ilikuwa 120/80
nikafanyiwa
ESR test
uric Acid test
ASL test na
RF test
vipimo vyote vilionyesha sina tatizo ila mkono bado haujanyoka na mguu wangu wa kulia huo huo nao umeanza kuniuma kwenye kifundo cha mguu je hamna mwana jf mwenye phd anisaidie?
 
Dalili za stroke so nakushauri nenda kwa doctor mwambie hivyo then akupe mazoezi ya hizo sehmu au hata akufunge kitu kama inawezekana!
 
kama kuna bibi kizee jirani na wewe unakoishi basi mmalizie maramoja kwani uenda ndo tatizo.
 
Back
Top Bottom