nisaidieni

dingi

Member
Joined
Mar 13, 2011
Posts
6
Reaction score
0
habari za saa hizi jamani,naombeni mnisaidie kuna mtu nabishana nae hapa,kati ya mwaka 2001 au 2002,simba ilicheza na timu moja kutoka misri,harafu mvua ikanyesha wakati simba inaongoza goli mbili,mechi ikaahirishwa,iliporudiwa simba ikashinda goli moja lakini ikatolewa kwenye mashindano.je mechi hiyo simba ilikuwa inacheza na timu gani?
 
Ismailia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…