C chen Member Joined Feb 12, 2012 Posts 64 Reaction score 7 Jun 29, 2012 #1 nina tatizo la kuchelewa kumaliza tendo la ndoa natumia zaidi ya dk 30 kumaliza na nina uwezo wa kufanya tendo ucku kucha bila kuchoka.nahisi hii ni tatizo kwan na mbore girl friend wangu.nisaidien nifanye nini ili hili tatizo lishe
nina tatizo la kuchelewa kumaliza tendo la ndoa natumia zaidi ya dk 30 kumaliza na nina uwezo wa kufanya tendo ucku kucha bila kuchoka.nahisi hii ni tatizo kwan na mbore girl friend wangu.nisaidien nifanye nini ili hili tatizo lishe
Pendael laizer JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 958 Reaction score 102 Jun 29, 2012 #2 Usifanye tena hayo mambo.
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Jun 29, 2012 #3 natamani ningepata mtu kama wewe,mbona ingekuwa sikukuu
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Jun 29, 2012 #4 kisukari said: natamani ningepata mtu kama wewe,mbona ingekuwa sikukuu Click to expand... Angalia isije kuwa msiba maana wengi wetu saa moja ndio tumewahi. Hivi madaktari wa jf hawajagoma?
kisukari said: natamani ningepata mtu kama wewe,mbona ingekuwa sikukuu Click to expand... Angalia isije kuwa msiba maana wengi wetu saa moja ndio tumewahi. Hivi madaktari wa jf hawajagoma?
kapistrano JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,244 Reaction score 454 Jun 30, 2012 #5 huu uzi huku si mahali pake post kwenye jukwa la mapenzi kule utapata ushauri wa kutosha