Nisaidieni

Nisaidieni

Mourine Abel

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Anaejua dawa ya tatzo hli,kukoma kwa hedhi. Dada yangu ana mwaka wa pili sasa haijui hedhi,ilikata tu yenyewe, hajazaa wala hajawah kutumia uzaz wa mpango.
 
Subiri wahusika waje watakusaidia. Jee huyo Dada aliwahi kwenda Hospitali kumuona Daktari?
 
Subiri wahusika waje watakusaidia. Jee huyo Dada aliwahi kwenda Hospitali kumuona Daktari?

Thx Globu, hsp amekwenda sana na kote alikokwenda aliambia ni homon hazijabalance hvyo atumie dawa za majira kwa miez mitatu na akafanya hvyo,ni kwel alvomaliza alipata siku zake mwez mmoja tu tangu hapo hakuna tena.
 
Back
Top Bottom