nisaidieni.

nisaidieni.

faszar

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
59
Reaction score
4
nimeshauriwa nitumie neo medro acne lotion kwa vikovu vya chunusi je inafaa na haina madhara yeyote msaada tafadha
 
Hizo ni chemicals! Hakuna chemicals zisizo na madhara. Nani aliyekushauri kutumia hiyo lotion? Maana mara nyingine unaweza kushauriwa na rafiki yako au wauzaji wa hizo chemicals. Nakushauri umwone daktari tena specialist wa magonjwa ya ngozi.
 
Back
Top Bottom