faszar Member Joined Jun 11, 2012 Posts 59 Reaction score 4 Dec 4, 2012 #1 nimeshauriwa nitumie neo medro acne lotion kwa vikovu vya chunusi je inafaa na haina madhara yeyote msaada tafadha
nimeshauriwa nitumie neo medro acne lotion kwa vikovu vya chunusi je inafaa na haina madhara yeyote msaada tafadha
Z zilakina JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 293 Reaction score 77 Dec 4, 2012 #2 faszar said: nimeshauriwa nitumie neo medro acne lotion kwa vikovu vya chunusi je inafaa na haina madhara yeyote msaada tafadha Click to expand... Mkuu inapatikana wapi na bei gani?kwani nahitaji.
faszar said: nimeshauriwa nitumie neo medro acne lotion kwa vikovu vya chunusi je inafaa na haina madhara yeyote msaada tafadha Click to expand... Mkuu inapatikana wapi na bei gani?kwani nahitaji.
faszar Member Joined Jun 11, 2012 Posts 59 Reaction score 4 Dec 5, 2012 Thread starter #3 zilakina said: Mkuu inapatikana wapi na bei gani?kwani nahitaji. Click to expand... Bei ni 25 kariakoo msimbazi bigbon
zilakina said: Mkuu inapatikana wapi na bei gani?kwani nahitaji. Click to expand... Bei ni 25 kariakoo msimbazi bigbon
B Bayyo JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,820 Reaction score 2,915 Dec 5, 2012 #4 Hizo ni chemicals! Hakuna chemicals zisizo na madhara. Nani aliyekushauri kutumia hiyo lotion? Maana mara nyingine unaweza kushauriwa na rafiki yako au wauzaji wa hizo chemicals. Nakushauri umwone daktari tena specialist wa magonjwa ya ngozi.
Hizo ni chemicals! Hakuna chemicals zisizo na madhara. Nani aliyekushauri kutumia hiyo lotion? Maana mara nyingine unaweza kushauriwa na rafiki yako au wauzaji wa hizo chemicals. Nakushauri umwone daktari tena specialist wa magonjwa ya ngozi.