Nisaidieni!

Nisaidieni!

Chasaka

Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
67
Reaction score
14
Wanajamvi,ikiwa sikufanya application ya TCU naweza kuomba direct kwenye vyuo? Majanga yaliniandama nikashindwa ku-apply kwa nafasi zote mbili zilizo tolewa lakini HESLB nimeomba. Naweza kusaidika kwahili?
 
Mbona tcu mda bado! Chakufanya kwa kuwa ww ni new applicant nunua voucher yao ya sh elf50 kutoka NBC then ingia www.tcu.go.tz---> CAS(CENTRAL ADMISSION SYSTEM) then apply bila matataa! Note;mwisho tar31 agust 2013
 
Tatizo limekuwa kwenye upatikanaji wa vocha wakuu!
 
Back
Top Bottom