mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,041
- 257
Yaani unavyoelza ni kama unamwambia mtu uliyenayekaribu anayejuajamani laptop yangu ni toshiba, niliiformat, wakati naiformat sikuidelete os liyokuwepos sasa kuna os mbili, nahitaji kuiondoa os iliyokuwepo na nataka ibaki moja tu, sasa nifanyeje ili itoke bila kuiformat upya. naomba msaada tafadhali,
os ya kwanza ni window 7, na ya pili ni xp professional, nahitaji kubaki na xp pro. msinichoke tafadhali,