Nisameeni ila nipokeeni

Nisameeni ila nipokeeni

jakackseru

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
132
Reaction score
27
Nilijiunga JF miaka mitatu iliyopita ila niliruka step kwani sikupitia jukwaa hili ilinifundwe,tafadhalini wadau nisameeni lakini pia mnipokee
 
Karibu sana JF wewe uliye mwenyeji
 
Asante kwakuwa namoyo wakusamehe,Mungu akuzidishie rehema nakipato pia,ila asisahau kukuongezea wapenzi ili uenjoy Duniani maana hatujui tukifa tunaenda wapi
 
Back
Top Bottom