jakackseru Senior Member Joined Mar 15, 2014 Posts 132 Reaction score 27 May 10, 2015 #1 Nilijiunga JF miaka mitatu iliyopita ila niliruka step kwani sikupitia jukwaa hili ilinifundwe,tafadhalini wadau nisameeni lakini pia mnipokee
Nilijiunga JF miaka mitatu iliyopita ila niliruka step kwani sikupitia jukwaa hili ilinifundwe,tafadhalini wadau nisameeni lakini pia mnipokee
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 10, 2015 #2 Karibu sana JF wewe uliye mwenyeji
jakackseru Senior Member Joined Mar 15, 2014 Posts 132 Reaction score 27 May 10, 2015 Thread starter #3 Asante kwakuwa namoyo wakusamehe,Mungu akuzidishie rehema nakipato pia,ila asisahau kukuongezea wapenzi ili uenjoy Duniani maana hatujui tukifa tunaenda wapi
Asante kwakuwa namoyo wakusamehe,Mungu akuzidishie rehema nakipato pia,ila asisahau kukuongezea wapenzi ili uenjoy Duniani maana hatujui tukifa tunaenda wapi
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 11, 2015 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu..............