nisehemu gani jaman?

nisehemu gani jaman?

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
sehemu gani ya mwili ambayo upata hewa ya oxygen kwa mara yakwanza katika mwili wa binadamu, nimeulizwa hili swali alafu pembeni kunakitita na bado sijapata jibu
 
Mmmmh..sehemu ya kwanza..

Mwili
 
Naomba unipe kipima pembe, bikari na foo figa ili nikupe jibu...
 
Nilitaka nijibu lakini naona swali limekaa kishirikina

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Back
Top Bottom