Unajidanganya, sio kwamba hufiki kileleni, hujafikishwa.jamani nahisi nilizaliwa nina matatizo ya kimaumbile,sifiki kileleni -inorgasmic. in the past nishawahi kuwa na mahusiano ila baada ya kugundua hali yangu tukaachana,najiuliza niseme kama nina tatizo hili pale tu napokutana na mwenza??? hataniacha??.........naskia wanyarwanda wanazivuta zao zinakuwa kubwa is it too late kufanya hii procedure now mie ni mtu mzima? kuna wanaume wako tayari na wanafurahia kuwa na mwanamke ambaye hafiki kileleni?????asanteni......
jamani nahisi nilizaliwa nina matatizo ya kimaumbile,sifiki kileleni -inorgasmic. in the past nishawahi kuwa na mahusiano ila baada ya kugundua hali yangu tukaachana,najiuliza niseme kama nina tatizo hili pale tu napokutana na mwenza??? hataniacha??.........naskia wanyarwanda wanazivuta zao zinakuwa kubwa is it too late kufanya hii procedure now mie ni mtu mzima? kuna wanaume wako tayari na wanafurahia kuwa na mwanamke ambaye hafiki kileleni?????
asanteni......
Kama ulikuwa mawazoni mwangu na mimi nilitaka kumswalika hayohayo...penye nyekundu tafadhali dada jestina..Pole sana dada japo hujafafanua vizuri wewe umesema unamatatizo ya kimaumbile halafu hufiki kileleni. Tatizo lako la kimaumbile ni lipi? pengine sio tatizo cos wewe umeshaliwaza na kuconclude kuwa ni tatizo ndo maana unaona hivyo. Wanyaruanda wanavuta nini?? pia unauliza hujachelewa kuvuta?? labda niwasubiri wenzangu wanaojua kunyambua mambo
ni tatizo la kimaumbile nimeconclude baada ya kuwa na wanaume kama wanne hivi,bila kufikishwa kileleni.....
na wanyarwanda nimesikia tu wanavuta zile sehemu unazofanya ufike kileleni mpaka zinakuwa kubwa hivyo kufika haraka,so katika desperation yangu ndio nahisi labda nikifanya hivyo nitafanikiwa ila sijajua wanavuta wakiwa wadogo au hata utu uzimani zitakuwa kubwa nilitaka kujua???
tatizo langu sio la kisaikolojia-sijawahi kubakwa mie na huwa naandaliwa vyema kabla ya tendo sema ndio utanisugua weeeee bila kuniona nafikia mshindo.......
si uachane na hayo mambo ujue sio lazima kwani utakufa au utapoteza nini? kama kitu hakina maslai achana nacho mwaya
What do they care...ili mradi yeye afike!
What do they care...ili mradi yeye afike!
Ni PM unipe namba ya simu yako nitakusikiliza, mambo mengine si ya kupitisha hapa utapata majibu mengi yatakuchanganya. Tupo wajuzi wengi humu jf!