ukara JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 285 Reaction score 168 Jun 10, 2023 #1 Mithali 29:7-8 7: Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue 8: Watu wenye dharau huwasha mji moto; Bali wenye hekima hugeuzia mbali ghadhabu
Mithali 29:7-8 7: Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue 8: Watu wenye dharau huwasha mji moto; Bali wenye hekima hugeuzia mbali ghadhabu