Niseme ukweli hatuna Viongozi wazalendo watanganyika, sijui wamepewa nini?

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Tanganyika inalia na mimi ninalia najua wengi kama mimi wanalia,matokeo yake waliojipa dhamana ya uongozi wanajijali wao siyo Tanganyika,na hawapendi wakuone unaililia Tanganyika, naamini Polepole aliipenda Tanganyika, Warioba anaipenda Tanganyika hata Lissu anaipenda.

Leo Tanganyika inaangamizwa huku tunaiona kwa makosa waliyoyafanya Wazanzibar hebu ndugu yangu simama kwa dhati tukaipiganie tanganyika haichagui uko wapi kinachojalisha wewe ni Mtanganyika fanya kitu kwa ajili ya Tanganyika.
 
Uzalendo na umaskin havikai sahan moja!. Kiongoz akiingia madarakan akikumbuka alipotoka tu kazi inaanza UPYAAAAAA
 
Bongo hii viongozi wakuu yan raisi, waziri mkuu na makamu wote wawe AI generated tu. Tununue maroboti waongoze nchi
 
Mtandao wana kupa cheo halafu wana kuchezesha kama kalikacha lao.

Wao wako nyuma wanakula wewe unavaa skafu shingoni unajiita mzalendo.

Mitanganyika mijinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…