Niseme Ukweli. Katika kutafuta mchumba humu mitandaoni nlikutana na watu wa ajabu sana

Mzee Gudume hongera kwa mchango wako huu. Kwanza nikiri kwamba ulichokiandika yawezekana kabisa ndicho ulichokipata katika utafiti wako. Moja ya changamoto kubwa ya tafiti ni kufikia hitimisho la data la yale uliyoyalenga. Silengi kukusosoa hata kidogo, ila kwa sababu lengo lako lilikuwa kuwapata makahaba na single mother ndicho ulichopata. Ungekuwa na lengo la kweli la kutafuta mchumba ama mke hap jf pia ungempata.

Pili, hitimisho lako linaweza kuwa lilichangiwa na uelewa mkubwa wa wale uliokutana nao. Kimsingi, watu wenye akili, in the first place wanapokutana na mtu huamua ni namna gani wakae na kuongea naye. Nnachotaka kusema hapa ni kwamba, people are able to pretend and live the expectations of the stranger. Sasa kuna uwezekano mkubwa kuwa walibehave the way ulivyo waripoti kwa sababu ndivyo walivyokuona na wakaona ndicho unachostahili kupata toka kwao. Hawa hawa uliokutana nao, wakikutana na mtu mwingine mwenye maswali na hojaji Kama zako anaweza kuja na majibu tofauti kabisa.
Kwa hiyo usiwahukumu Sana kwa ulicho kiona kwao, walikuwa hivyo kwa sababu walikutana na mtu ambaye walihisi ndivyo wanavyotakiwa kuwa hahaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu nasubiri wachangie mada hii nawaona online wanavunga hawajauona uzi huu.....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ angekua uraiani angeshapigwa risasi baki huko huko kwa keyboards.... nasubiri thread za wale kujitetea na tuhuma hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…